Jaribu kutuloza akili na kutafakari kile mtu anachoandika. Nimeona uhalali wa kujadili mada coz hata Mimi sikujua kuwa vyuo vyetu havitoi shahada ya sheria, na ulikuwa na haki ya kuleta mada hii ili kupata ufahamu. Tatizo linakuja pale unapokuja kwa dhumuni la kukebehi na kuchokonoa zaidi ya kutaka kujua, huku ukilazimisha majibu unayohitaji ujibiwe. Unapewa links usome lakini bado unahitaji ligi kwa kuhoji what seems pretty obvious.
Hiyo ndio sababu ya mimi kuhoji na si linginw
Kwanza ni kweli vyuo vyenu vilikuwa havitou hiyo degree
Halafu kikubwa zaidi ukisoma post za Wasabato utagundua kuwa wapo ambao walikuwa hawajui jambo hili na kuna wengine wanalijua
Pia inaonekana degree hii imeanza kutolewa nyakati hizi
Kwasababu hizo hapo juu mada hii imeleta manufaa kwenu na kwa wale ambao sio wasabato,lakini kikubwa ni kuwa bado hamjasema ni kwanini hamkuwa mnafundisha sheria kwenye vyuo vyenu
Kimsingi sijakurupuka ila wewe ndio umekurupuka!
Kwanini?
Msingi wa vyuo vya kisabato hapa nchini ilikuwa ni kuandaa viongozi wa kiroho (wachungaji ) watakao kuwa na jukumu la kutoa Elimu ya kiroho kwa waumini na wasio waumini wa ki adventista. Hilo lilikuwa dhumuni kuu lakini kwa kuwa kama taasisi inayopanuka mahitaji yake pia yanaongezeka na uhitaji wa kuwa na wataalamu wa mambo mbalimbali unaongezeka kwa waumini na wasio waumini basi hivi vyuo vinaanzisha kozi nyengine ili kutoa elimu. Ni transition period sababu hata kozi ambazo zipo leo hazikuanza zote kwa pamoja. Wakati utafika ambapo taasisi itaona inafaa kwa kuzingatia taratibu na mahitaji ya utoaji wa kozi husika then ita ianzisha. Sioni uhusiano wa kukosa hiyo kozi na uhusiano wa kidini. Kwani hiyo sheria inatolewa kwenye vyuo vyote Tanzania. Na tukae tukijua kuna Taasisi ambazo zenyewe zina vipaumbele vyake kwa hiyo siwezi shangaa kukuta taasisi kubwa yenye kila Rasilimali lakini ikaamua kubobea sehemu moja.
Kwenye post yako sio tu uliona inawezekana jambo hilo likawa la kweli bali uliona kutokuwepo kwa somo hili ni kitu cha kushangaza na ulishangaa
Nimesema na ninasema kuwa baada ya kugundua kuwa ni kweli kuna vyuo vinafundisha imeonekana havina muda mrefu tangu vianze kufanya hivyo,sasa ni kitu gani kilikuwa kinafanya somo hilo lisiwepo kabla?
Na kitu gani kimefanya somo hilo limewekwa sasa?
Nimekebehi wapi?
Nimechokonoa wapi/nini?
Nimelazimisha wapi majibu?
Kuna mambo ya Mungu na kuna mambo ya duniani
Huwezi kupuuza ya Mungu kwasababu unkwenda kwake
Huwezi kupuuza ya duniani kwakuwa uko duniani
Yesu aliagiza kuwa tunapokuwa hapa duniani tunatakiwa tujue kuwa tunahitajika tujue kuwa kuna serikali na tuipe yale ambayo ni halali kwayo NA NDIO MAANA ALISEMA TUMPE YA kAISARU YALE AMBAYO YANAMFAA NA YA mUNGU TUMPE PIA
Unapokuwa duniani halafu ukapuuza ya hapa duniani unakuwa unakosea sana,serikali inatambulika na Mungu na ndio maana ametuagiza tuiheshimu,unaposema tuzingatie tu ya kiroho unakuwa unamkosea Mungu pia
Kwa mantiki hiyo sasa,ndipo swali linakuja,ni kwanini kwenye vyo vya kisabato kulikuwa hakuna hili somo?
Nadhani utakuwa umeelewa!
kuna chuo gan cha wasabato hapa Tanzania jaman?
Inawezekana hukusoma post za mwanzo,suala la kutokuwepo na somo hili kwenye vyuo vyenu limehusishwa na imani,sasa kama ni hivyo inakuwaje leo somo hili lipo?
Unapofanya jambo ambalo wakati wa nyuma ulikuwa unadhani ni kosa,sio kujua kuwa ulikuwa umekosea?
Sasa sio chaka hilo?
Hapana,sio lazima lakini inapotokea kuwa vyo vyote vya watu fulani hawafundishi somo fulani au kozi fulani huoni hilo ni tatizo?
Swali lako linakuwa na msingi kwasababu mlikuwa hamfundishwi sheria na jambo hilo linasababu za kiimani,kwahiyo sasa unapopata kesi na kuja kusimamiwa na mtu ambae wewe unamuona anafanya dhambi ni sawa?
Hapana wewe inaonekana hujiamini,ni kwanini unadhani hivi wakati sababu iko wazi?
Ni kweli jibu limekuja kuwa watafundisha sheria,lakini kama watu tunaotumia akili zetu vizuri jibu hilo limezua jibu lingine baada ya kuonekana mmeanza kufundisha karibuni tu,kwanini?
Nini kiliwafanya huko mwanzoni msifundishe?
Kama una jibu si ujibu halafu uone kama kuna jambo ambalo limejificha kama unavyodai wewe?
Hebu jibu basi!
Kitendo cha kuacha kufundisha ni ishara ya walakini kwasababu ni somo ambalo ni uhimu sana kwenye maisha ya kila kisu
Na pia inaonekana hakukuwa na hiyo kozi kwenye vyuo vyenu mkuu,kwanini?
Na je ile sababu ambayo iliwafanya msiweke hiyo kozi imeondokaje?
Kwanza ni kweli vyuo vyenu vilikuwa havitou hiyo degree
Halafu kikubwa zaidi ukisoma post za Wasabato utagundua kuwa wapo ambao walikuwa hawajui jambo hili na kuna wengine wanalijua
Pia inaonekana degree hii imeanza kutolewa nyakati hizi
Kwasababu hizo hapo juu mada hii imeleta manufaa kwenu na kwa wale ambao sio wasabato,lakini kikubwa ni kuwa bado hamjasema ni kwanini hamkuwa mnafundisha sheria kwenye vyuo vyenu
Kimsingi sijakurupuka ila wewe ndio umekurupuka!
tuambie sababu za kutowek hilo som katik vyuo vyetu
Nani kakuambia kulikua kuna sababu?
Ni kweli nilisema hivyo, lakini jaribu kuuliza kwa nini nilisema hivyo na sio kuja na hitimisho, hiyo inaitwa premature conclusion.Kwenye post yako sio tu uliona inawezekana jambo hilo likawa la kweli bali uliona kutokuwepo kwa somo hili ni kitu cha kushangaza na ulishangaa
Hili swali kiongozi sioni mantiki yake kabisa, "kwa nini mkwawa university haifundishi engineering courses?"Nimesema na ninasema kuwa baada ya kugundua kuwa ni kweli kuna vyuo vinafundisha imeonekana havina muda mrefu tangu vianze kufanya hivyo,sasa ni kitu gani kilikuwa kinafanya somo hilo lisiwepo kabla?
Na kitu gani kimefanya somo hilo limewekwa sasa?
Unalazimisha majibu, pale unapolazimisha kuuliza maswali ya majibu ambayo tayari umeshapewa, au kwa weledi wangu tayari una majibu...!Nimekebehi wapi?
Nimechokonoa wapi/nini?
Nimelazimisha wapi majibu?
Umeelewa nilichokuandikia au unataka kupoteza muda wa watu tu hapa?