Inawezekana hukusoma post za mwanzo,suala la kutokuwepo na somo hili kwenye vyuo vyenu limehusishwa na imani,sasa kama ni hivyo inakuwaje leo somo hili lipo?Na hapo ndo utaamini kuwa hivi vitu vinaletwa kwa makusudi tu ili mradi watu wapate pa kuanzia hayo ya walikuwa wameingizwa chaka yametoka wapi.
Hapana,sio lazima lakini inapotokea kuwa vyo vyote vya watu fulani hawafundishi somo fulani au kozi fulani huoni hilo ni tatizo?Hivi ni Hiyo kozi ya sheria ni lazima sana kutolewa katika vyuo vyote duniani.
Swali lako linakuwa na msingi kwasababu mlikuwa hamfundishwi sheria na jambo hilo linasababu za kiimani,kwahiyo sasa unapopata kesi na kuja kusimamiwa na mtu ambae wewe unamuona anafanya dhambi ni sawa?Wapi imeandikwa msabato akipata kesi basi ni lazima atetewe na msabato mwenzie.
Hapana wewe inaonekana hujiamini,ni kwanini unadhani hivi wakati sababu iko wazi?Kuna vitu watu wanaanzisha just ku take your attention. Maake mada za wasabato ulikuwa umepita muda bila kujadiliwa naona watu waneona waanze tena.
Ni kweli jibu limekuja kuwa watafundisha sheria,lakini kama watu tunaotumia akili zetu vizuri jibu hilo limezua jibu lingine baada ya kuonekana mmeanza kufundisha karibuni tu,kwanini?ulitaka kujua why wasabato hawafundishi law umepewa vyuo vinavyofundisha law then your assumption is wrong sababu vyuo vipo.
Siamini kama na wewe unaandika madai ya namna hii ....Hata mimi naamini kuna vita ya baridi dhidi ya usabato..!
..Hata hivyo,vyuo vya wasabato kama zilivyo taasisi zingine, zina sheria zake na mipaka ayake kutokana na kanuni zilizowekwa. Kwa nini kunazuka maswali ya ajabu? Bahati mtu amejibiwa, lakini bado hataki kuelewa, anataka jibu alilojiwekea kichwani..!
Inakuwaje sasa unakuja na kujidai kuuliza sababu ya mimi kuhoji wakati na wewe uliuona huo uhalali wa kuhoji mwanzo na sasa unajidai huuoni?Mwenyewe nimeshangaa sana. Sababu za kutokuwa nazo ni zipi? Wasabato tuna kazi kweli..!
Ila inaonekana wameanza karibuni tu maana kwa wale waliosoma miaka mitano nyuma hawajui hii kitu ....
Kwahiyo inawezekana waligundua wameingizwa chaka na sasa wamejirekebisha ..!!
Ishu ni mmeanza lini kufundisha..? Maana hata women ordination mmeanza juzi tuu hata mwaka haujaisha.....Dogma ya miaka na miaka mmevunja juzi juzi...
Kama sio mimi kuchimba na kujua kuwa sasa women Ordination ni ruksa ningeendelea kujua ni katazo kwa Kanisa la Kisabato wanawake kuhubiri...Kumbe ni juzi juzi tuu GC imefungua mnyororo ulifungwa tangu mwaka 1843....
Ofcourse hii ya LL.B nayo ni kama Women Ordination..
Ahsanta..
Siamini kama na wewe unaandika madai ya namna hii ....
Si wewe uliesema haya maneno hapa chini?
Inakuwaje sasa unakuja na kujidai kuuliza sababu ya mimi kuhoji wakati na wewe uliuona huo uhalali wa kuhoji mwanzo na sasa unajidai huuoni?
Kama kuna kanuni na sheria za kutokufundisha sheria,kwanini usingenijibu mwanzo badala yake na wewe unaungana na huyu jamaa kunishangaa wakati na wewe ulifanya kitu kile kile?
Yaani sasa unona kuna vita dhidi ya Usabato wakati na wewe uliwashangaa wasabato wenzako kwa kutofundisha sheria,wewe ni wa ajabu sana ....
Yaani sasa unona ni swali la ajabu wakati uliunga mkono na kudai Wasabato mna kazi,ni mtu wa aina gani wewe?
Nimejibiwa nini hadi sasa?
Jaribu kufanya vitu systematically, kama ulikua na mada kuhusu women ordination open a new thread uanze nayo,
Sidhani kaama mada husika inahusiana na women ordination
Miaka mitano nyuma? ! Mi naongelea vyuo vya 1940's. .....jambo la kuelewa ni kuwa kanisa la SDA halijawahi kuwa against na masomo ya sheria tangu kuanzishwa kwake kama taasisi. Kwani kila chuo ni lazima kifundishe course zote? !
Inawezekana hujaelewa nilichouliza;
Sijauliza vyuo vimeanzishwa lini,nimeuliza muda ambao masomo ya sheria yameanza kutolewa kwenye vyuo vyenu kwasababu kuna watu wanasema hakukuwa na somo hilo kwenye vyuo vyenu miaka mitano iliyopita!
Inawezekana hujaelewa nilichouliza;
Sijauliza vyuo vimeanzishwa lini,nimeuliza muda ambao masomo ya sheria yameanza kutolewa kwenye vyuo vyenu kwasababu kuna watu wanasema hakukuwa na somo hilo kwenye vyuo vyenu miaka mitano iliyopita!
Eiyer tazama mambo hayo.. Ntuzu nawe wasemaje kuhusu hayo mapandikizi ya GC..?Haya mambo yanaenda kwa siri kubwa sana katika ngazi za juu, hujui ni kwanini papa na makasisi wanavaa kibalagashia wakati waumini hawaruhusiwi wakati wa ibada, mnabatiza kwa kunyunyiza kichwa wakati yesu alibatizwa kwa maji mengi,
hayo hamuyaoni? women ordination vote imefanywa na mapandikizi kutoka RC na hayo tunayajua yalishatabiliwa siwezi kushangaa 1 wakorintho 14;34-37 ,waefeso 5;22-24,mwanzo3;16, toka kuumbwa kwa ulimwengu mwanamke yuko chini ya mwanume kwa kila jambo iwe nyumbani au kanisani wewe unasoma biblia gani?
Cha msingi ishi kulingana na maandiko yasemavyo sio maamuzi ya viongozi wako maana hao ni binadamu tu na sio malaika
TAHADHARI; Ole wako umtumainie mwanadamu.
Ni kweli kiongozi.ila haina shida ngoja watusaidie kututangazia kanisa letu the more they shout the more people wants to know how the adventist church is?haijalishi iwe positive or negative wanavyo taja taja watu watakuwa interested kuchimba na kuutafuta ukweli. infact wanatusaidia katika kutoa madodoso ya kuokoa roho za watu kazi inakuwa nyepesi. Alisema hata msipo piga kelele ninyi basi mawe yataongea. Naona mawe mwaka huu yanaongea sana kwa kweli na hiini dalili ya kuwa tumenyamaza sana
Jaribu kutuloza akili na kutafakari kile mtu anachoandika. Nimeona uhalali wa kujadili mada coz hata Mimi sikujua kuwa vyuo vyetu havitoi shahada ya sheria, na ulikuwa na haki ya kuleta mada hii ili kupata ufahamu. Tatizo linakuja pale unapokuja kwa dhumuni la kukebehi na kuchokonoa zaidi ya kutaka kujua, huku ukilazimisha majibu unayohitaji ujibiwe. Unapewa links usome lakini bado unahitaji ligi kwa kuhoji what seems pretty obvious.Siamini kama na wewe unaandika madai ya namna hii ....
Si wewe uliesema haya maneno hapa chini?
Inakuwaje sasa unakuja na kujidai kuuliza sababu ya mimi kuhoji wakati na wewe uliuona huo uhalali wa kuhoji mwanzo na sasa unajidai huuoni?
Kama kuna kanuni na sheria za kutokufundisha sheria,kwanini usingenijibu mwanzo badala yake na wewe unaungana na huyu jamaa kunishangaa wakati na wewe ulifanya kitu kile kile?
Yaani sasa unona kuna vita dhidi ya Usabato wakati na wewe uliwashangaa wasabato wenzako kwa kutofundisha sheria,wewe ni wa ajabu sana ....
Yaani sasa unona ni swali la ajabu wakati uliunga mkono na kudai Wasabato mna kazi,ni mtu wa aina gani wewe?
Nimejibiwa nini hadi sasa?
Watu wanauliza vitu ambavyo majibu yake washa ya set kwenye vichwa vyao then kwanini uulize sasa kama majibu unayoJaribu kutuloza akili na kutafakari kile mtu anachoandika. Nimeona uhalali wa kujadili mada coz hata Mimi sikujua kuwa vyuo vyetu havitoi shahada ya sheria, na ulikuwa na haki ya kuleta mada hii ili kupata ufahamu. Tatizo linakuja pale unapokuja kwa dhumuni la kukebehi na kuchokonoa zaidi ya kutaka kujua, huku ukilazimisha majibu unayohitaji ujibiwe. Unapewa links usome lakini bado unahitaji ligi kwa kuhoji what seems pretty obvious.
Hiyo ndio sababu ya mimi kuhoji na si linginw
Vyuo vya kisabato wanatoa degree ya Sheria, hicho cha Arusha ndio hamna lakini vyuo vingine vya kisababto wanafundisha law and legal studies
SDA majors and programs | Adventist Colleges and Universities
Ila nimependa confdence yako ya kujibu....
....marekebisho sheria si sanaa ya kufanya uwongo...
Eiyer siku zingine unakurupuka kweli kweli. Kama hoja ni hiyo ungeuliza, je ni duniani kote ( ingia google) baada ya kujiridhisha then ungejenga hoja.
Sasa ukiambiwa wazungu wanajisaidia juicy nayo utaleta humu kuuliza? Jishughishe na ujenge critical argument ukiweza weka na reference harvard style