Vyuo vya diploma

Vyuo vya diploma

tikilili

Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
41
Reaction score
10
Jamani na mdogo wangu kamaliza kidato cha sita mwaka huu mchepuo wa HGL matokeo yake ni D ya GEOGRAPHY,E y ENGLISH, na E ya HISTORY..sasa naomba kujua chuo atakachoweza kupata diploma endapo NACTE watafungua.....
 
ivi kama mimi nimepata two ya 10 nimesoma hkl naweza pata nafasi chuo gani na course gani mzuri
 
Mie namshauri akasome kwenye vyuo vyetu vya ualimu.
 
Jamani na mdogo wangu kamaliza kidato cha sita mwaka huu mchepuo wa HGL matokeo yake ni D ya GEOGRAPHY,E y ENGLISH, na E ya HISTORY..sasa naomba kujua chuo atakachoweza kupata diploma endapo NACTE watafungua.....

mzumbe diploma ya law
 
Back
Top Bottom