Vyuo vya diploma ya udaktari

Vyuo vya diploma ya udaktari

sengerema,mvumi,rao health training center,machame,tandabui,karatu,suye,gisan,st.aggrey,kolandoto,KAM collage, hizo n private kama nmesahau vingine wadau changien bt kwa sasa huwezi ku apply direct mpaka usubiri mwakan kupitia CAS
 
kiu,bumbuli, tandabui,st.aggrey
 
labda na vya upgrading kutoka certificate to diploma direct ni vipi? maana kuna mtu kani pm na mm naomba msaada kwenu
 
Kilosa,mtwara,kibaha,lindi,tanga,mafinga cotc,vyuo hivi ni vya serikali
 
habari .eti kuna utofauti gani kati ya kozi ya radiology na biomedical engineering?
 
habari .eti kuna utofauti gani kati ya kozi ya radiology na biomedical engineering?
Biomedical engineering (BME) is the application of engineering principles and design concepts to medicine and biology for healthcare purposes (e.g. diagnostic or therapeutic).
Radiology is the science that uses medical imaging to diagnose and sometimes also treat diseases within the body.
 
ahsant absamb ila ipi nzuri zaid kati biomedical eng na radiology?
Mkuu kwa upepo wa tz
Mnashindwa nisemeje but
Ajira zake ni uhakika
Coz kuna Hosp nying za rufaa also na za mikoa so ucwaze abt ajira
Hapo chagua ip unampenda but radioactive itapendeza zaidi
 
Back
Top Bottom