Nashukuru sana, pia naombeni ushauri vyuo vingi vzuri vina compition sana, nina mdogo wangu yupo kijijini na amesoma huko na kupata D masomo yote, je anasifa za kuanza na basic certificate in clinical medicine..? na chuo kipi anaweza kuchaguliwa kwa urahisi kiwe cha serikali. Wenye uzoefu na wanaofahamu zaidi naomba mnisaidie juu ya hilo.