Engineering ip mnazungumzia? Ya kusoma vitu vingi na uzikuti katika mazingira ya kazi? Tunasoma masm,pic programming,embedded system,nasm,matlab,plc progamming,java,c++,c na compiler nyingiii.vp makampuni mangapi hapa tanzania vinatumia angalau plc na scada kwenye system zao? Engineer unaajiriwa planning section tanesco unafanya kazi ya kukagua wiring ya nyumba viumba vitatu,tanzania twachekesha kweli alaf mtu anakuja kusema chuo kinachotoa ma engeneer wazuri,badala ya kujiuliza ma engineer wa tz wanafanya kazi gani?