VYUO TANZANIA

Adjutis Junior

Senior Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
118
Reaction score
23
Habari wanaJF
.
Nilikuwa naomba kuuliza eti
Chuo kikiwa ownership ni private kwa maana cha private lakn kimesajiliwa na NACTE,
.
Je, selikali ikitangazaa ajira kutoka katika vyuo, wanakuwa wanawahusisha na wanafunzi wa hvy vya prvte
Kwa maan je wa private katika kutangazwa ajiri nawo watakuwepo na kuajiriwa na selikari


Ahsantenii
 
Ndio ajili ni kwa wote muhimu chuo kiwe kinatambuliwa na mamlaka husika TCU and NACTE
 
Kipaumbele vyuo vyao kwanza ni kama unavyoona kwenye mikopo anayepewa kipaumbele yule aliyesoma serikalini
 
umeelewa nilichozungumza hapo nimesema kipaumbele waliosoma vyuo vyao vya serikali maana huaminika zaidi hakuna ulipuaji nakupa mfano nina jamaa mmoja namfahamu yeye ana GPA 4.1 kasoma private mpaka leo hajaajiriwa serikalini wakati mwenzie wa GPA 3.2 kasoma Mtwara COTC yupo anakula bata
I mean sio chuo kikuu maana natumia matokeo ya f4 kuapply chuo
 
we dogo Umesema wew au nimesema mimi? yaani nilichokwambia inbox umekopi kama kilivyo halafu ndo unataka chuo
hahaha nina mashaka na huo ufaulu wako
 
Duuuh asa mm bro ipo hiv
Mi sijaenda form 6 cuz dream ni u co
natak niende chuo kupiga u CO
Ipo hivyo na nimeeenda chuo kimoj coct wameniambia kuapply kumeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…