Nahisi Kuna bahadhi ya fani ni ngumu kuendesha mafunzo mtandaoni huku kukiwa na ubora wa elimu, hasa za kazi za vitendo.
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Kwa vyuo vipo ama chini ya TCU ama NACTE .
Hawa watu walitakiwa kutoa mwongozo ama ramani kuonyesha iwapo ratiba zao za mihula na mitihani zinaweza kubadilika.
Ila ni mabaraza yaliyojaa watu waliojichokea na wanasubiri kufungia vyuo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama itakua affordable kwa kila mwanafunzi. Wanafunzi wengine wapo huko kwao wanavuna mpunga.
Ushi miaka buku kwa kuliona ili.Sijui kama itakua affordable kwa kila mwanafunzi. Wanafunzi wengine wapo huko kwao wanavuna mpunga.
Hivi ni famlia ngapi zenye uwezo wa kupata laptop kwa ajili ya mtoto/watoto kujisomea kwa njia ya mtandao? Bado tuko nyuma sana katika eneo hili. Pia kuna chngamoto ya mtandao ili kupata masomo kwa njia ya mtandao.Ni kweli baadhi ya fani ni ngumu. Ila wao ni wasomi lazima waje na suluhu ya changamoto hii ili wasome hata katika wakati huu mgumu.
Fani zote za sayansi haziwezi kufanywa kwa izo njia za kutoa notes na video alafu udhani utapata watu apo .unadhani utapata madoctors, engineers,watu wa geometric , surveys na wengine wengi wa sayansi bila ya mafunzo ya vitendo na kuwafanyia assessment kama lecture.labda izi za ngonjera na haya Mambo ya uhasibu pengineNi kweli baadhi ya fani ni ngumu. Ila wao ni wasomi lazima waje na suluhu ya changamoto hii ili wasome hata katika wakati huu mgumu.
SAFI SANANi wazo zuri lakini kuna factors nyingi za kuzingatia. Sio kila kaya inamiliki laptop ya kuweza kuidedicate kwa mtoto tu. Kuna kaya zenye wanafunzi zaidi ya mmoja ambapo pia ni changamoto kuweza ku allocate resources za kusomea online kwa kila mtoto.
Wengi ya wazazi ni wafanyakazi, kurudi kwao ni jioni. Ni swala moja kukagua homework lakini kusimamia masomo yote hiyo ni changamoto.
Mwisho wa yote hiyo system ni rafiki kwa wale wa English Medium maarufu kama academy, kina Kayumba nao unadhani wana miundombinu ya kuwezesha hilo?
Hili janga limekuja kuvumbua mengi ikiwemo udhaifu na uduni wa mfumo wetu wa elimu.