Melkiard Junior
Senior Member
- Aug 12, 2018
- 150
- 79
Naaam, sawa sawa KakaMkuu muwe mnatafuta wasomi bora na wenye michango Tanzania, siyo vyuo bora!!
Ni mawazo yao finyu tu, tuwasameheSasa wanaoitaga UDOM chuo cha kata uwa wana maana gan sasa jaman
Mzumbe UniversityMU ndo chuo gan
Mzumbe UniversityMU ndo chuo gan
Ukisoma hiyo link kuna vyuo vingine vimefungiwa..au ndio ubora wenyeweKama kawaida yao, UDSM wanaendelea kuongoz list ya Vyuo bora Tanzania, best five ni:
1. UDSM
2. SUA
3. MU
4. UDOM
5. MUHAS
full list hii hapa:
Top Universities in Tanzania | 2018 Tanzanian University Ranking
wakati wa publication ya hivi vyuo vilikuwa havijafungiwa bado MkuuUkisoma hiyo link kuna vyuo vingine vimefungiwa..au ndio ubora wenyewe
vyuo bora lkn wasomi wake wame-base instagram
namaanisha kwamba wahitimu ni weng lkn hakuna, wakifika mitaan hakuna cha kufany zaid ya kuwekeza elimu zao mitandaonInstagram kwani ikoje mkuu??
Wasomi huko duniani wako huko.
TIA mbona hakipo kwenye listKama kawaida yao, UDSM wanaendelea kuongoz list ya Vyuo bora Tanzania, best five ni:
1. UDSM
2. SUA
3. MU
4. UDOM
5. MUHAS
full list hii hapa:
Top Universities in Tanzania | 2018 Tanzanian University Ranking