Vyumba vinapangishwa.

Vyumba vinapangishwa.

droney

Senior Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
101
Reaction score
381
Vyumba vya kupanga(chumba na sebule) vinapatikana maeneo ya ubungo darajani, ni self-contained. Bei ni 100,000/= kwa mwezi, kulipia ni miezi 6, kwa anayehitaji aniitumie private message(PM) kwa mawasiliano zaidi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ubungo darajani si kuna vibaka wengi hapo..

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Vyumba vya kupanga(chumba na sebule) vinapatikana maeneo ya ubungo darajani, ni self-contained. Bei ni 100,000/= kwa mwezi, kulipia ni miezi 6, kwa anayehitaji aniitumie private message(PM) kwa mawasiliano zaidi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mkuu,ni nyumba mpyaaaa au Kongwe? Kuna Maji,Fence au hakuna?
 
Nahitaji maeneo ya Mbezi Beach au Makongo Juu.

Chumba, Sebule na Choo chake. Kwa 100000/= Kama naweza kupata plz Do PM.

Demand yako na bei ulizoweka ni vitu saba tofauti kwa hayo maeneo mkuu
Anyway, ukipata na mimi nijulishe please.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom