Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Maajabu Haya, Yaani Inafikiri Mtu Atakutafuta Bila Picha Humu??
Ha Ha!! Mbuzi Kwenye Gunia Hapana, Tumeshatapeliwa Sana Mkuu!! Tuma PichaWewe endelea kusubiria picha,wenzio wamesha anza kunitafuta!
Ha Ha!! Mbuzi Kwenye Gunia Hapana, Tumeshatapeliwa Sana Mkuu!! Tuma Picha
Omba muongozo ujue namna ya ku upload picture usiuze mbuzi kwenye guniaHabari za leo?
Kuna nyumba inapangisha vyumba viwili vya kulala,utashea jiko na bafu na choo na familia nyingine moja.
Vyumba vipo maeneo ya Tanesco,Tanga mjini.
Bei ni 90,000/= kwa mwezi kwa vyumba viwili,inatakiwa ulipe si chini ya miezi sita.
Umeme,maji,geti na parking vinapatikana.
Nimeshindwa kuapload picha,ila ukiwa unahitaji niambie!
Mawasiliano: 0713260027
Huduma nyingine za dharura zinapatikana around?
Omba muongozo ujue namna ya ku upload picture usiuze mbuzi kwenye gunia
Vp masharti katika nyumba,mfano kama mwanaume usilete totos,au kuingia mwisho muda fulani.Tusifanye lile au hili?