Sorry, hiyo k inasimama badala ya nini, pili tofauti kati ya double na self ni nini, zaidi ya kuwa na choo cha ndani, maana naona bei ziko sawaHabari Zenu Wakuu,
Kwa Wanaohitaji Vyumba Maeneo Ya Msewe,vya kawaida,self au double ni PM
Single 60k
Double 100k
Self 100k
msewe halafu bei hzo! hali ngumu sahv utaisoma namba