Vyumba na nyumba vinapangishwa Kigamboni

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Habari
gani wakuu? Natumaini mnaendelea vyema. Vifuatavyo ni vyumba na nyumba
vinavyopangishwa Kigamboni. Viko sehemu nzuri, hakujai maji, ni km 3
mpaka 4 kutoka ferry, maji na umeme vipo:
chumba na sebule, na choo chake sh150,000.
Chumba na sebule, na choo chake sh. 120,000.
Chumba single kwa sh. 30,000 kwa mwezi, unalipia miezi sita. Umeme na maji vipo.
Nyumba nzima iliyo ndani ya fence kwa sh. 300,000.
Kwa anaehitaji chochote kati ya vilivyoelezewa hapo juu, karibu PM.
 
...asante mkuu mi mpaka daraja likamilike ndo ntahamia dar,karibu mwanakwerekwe...
 
Habari gani wakuu? Natumaini mnaendelea vyema. Vifuatavyo ni vyumba na nyumba vinavyopangishwa Kigamboni. Viko sehemu nzuri, hakujai maji, ni km 3 mpaka 4 kutoka ferry, maji na umeme vipo:
chumba na sebule, na choo chake sh150,000.
Chumba na sebule, na choo chake sh. 120,000.
Nyumba nzima iliyo ndani ya fence kwa sh. 300,000.
Kwa anaehitaji chochote kati ya vilivyoelezewa hapo juu, karibu PM.

Mkuu,hiyo kodi ni kwa muda gani?
 
hiyo chumba sebule na choo chake,,umeme unajitegemea au niwakushare????
 
Habari gani wakuu? Natumaini mnaendelea vyema. Vifuatavyo ni vyumba na nyumba vinavyopangishwa Kigamboni. Viko sehemu nzuri, hakujai maji, ni km 3 mpaka 4 kutoka ferry, maji na umeme vipo:
chumba na sebule, na choo chake sh150,000.
Chumba na sebule, na choo chake sh. 120,000.
Nyumba nzima iliyo ndani ya fence kwa sh. 300,000.
Kwa anaehitaji chochote kati ya vilivyoelezewa hapo juu, karibu PM.

Wapangaji wako wa ngapi kwa nyumba moja?
 
Naona umeingia katika mtego
wake, alichatoka kujua ni kua 150000 Kwa mwezi? au 150000 ndio miezi
6?

Dah! Kweli Mkuu, kodi ni kwa mwezi
Kwa nyongeza nikuwa kuna chumba cha 30,000 kwa mwezi na unalipia miezi 6. Umeme na maji vipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom