Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Dah! Hapo ugali ungekuwa dona...
Dah! Hapo ugali ungekuwa dona...
Umeona eeh!...unashushia na juice ya chungwa nzuriiii baridi !
Mbona umeondoa ile picha pendwa? Sikujua kama ni wewe mkuu...aiseee ni noma sana
Hapa nakula hadi mifupa
Kwa sababu ya kumuenzi Baba wa Taifa..nitairudisha usiwazeMbona umeondoa ile picha pendwa? Sikujua kama ni wewe mkuu...
Acha ufisi, vitu vingine bora kuachia paka na wanyama wengine wa nyumbani.Hapa nakula hadi mifupa
AiseeAcha ufisi, vitu vingine bora kuachia paka na wanyama wengine wa nyumbani.
Ya moto ndo nzuriunashushia na juice ya chungwa nzuriiii baridi !