Aaah, hizo za kwenda kunywea bia na kuhonga mkuu. Hali ni mbaya sana kwa vyoo vya Uwanja wa Taifa, yaani inatia kinyaa sana. Wanashindwaje kuwa na tank kubwa kwa ajili ya kutunzia maji na kufanyia usafi vyoo?! Bado wanakata asilimia 15 kama gharama za uwanja?! Yaan watu wapo hovyo sana.