Vyoo vya afya diploma

kama ulikuwa unamean vyuo vya afya kwa ngazi ya diploma tayar yashatoka but hvyo vyoo ulivyovisema kwa ngazi ya diploma nadhani yatatoka jana
 
Hahahahaa Huyu jamaa anaonekana ni mtaalam wa kujaza vyoo hebu kuwen makini na mkeshe mkiomba asijeakawa amepangiwa chuo ulichopangiwa nawasilisha%
 
hahaha da kazi sana, vyooo vya afya :what:
 
Hahahaa anataka kujitetea et mkono hauna mfupa duuu take care%
 
ndio waliishatoa kitambo sana.... ila hawa wa awamu ya pili ndio bado....

uwe makini na unachokiandika.
 
vyoo vya diploma wajanja washavinyea,jitahidi ukanyee kabla havijajaa
 
kwani akikoselewa na mtu mmoja haitoshi kujirekebisha?? ni nani hajamwelewa mtoa mada? badala ya kuchangia mada kila mtu anaonekana mwalimu wa kumkosoa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…