Wilson Leguna
Senior Member
- Feb 22, 2017
- 104
- 92
Kabla ya kuandika ulichokiandika ingetakiwa upate elimu ya kutosha juu ya vyoo na aina zake. Ni vema ukaelewa Serikali haina tatizo katika agizo hili tatizo lipo kwa sisi wananchi na elewa maagizo haya ni kwa nchi nzima.Wiki iliopita,ktk mkoa wa katavi mkuu wa mkoa huo mh Makala alisikika akiwaambia wakazi wa vijijini kua zoezi la ubomoaji wa vyoo visivyo na ubora litaendelea,wametoa muda kwa wakazi hao kuviboresha....sipingani na maamuzi hayo...lkn ukweli maamuzi mengine hayana mashiko au yametolewa kwa mihemko ya kisiasa...ukweli usiopingika maisha ya wengi vijijini ni duni, na hata nyumba zao pia ni duni na nyingi ni za vyasi...kupeleka mtizamo wa nyumba ni choo vijijini co sahihi...kama nyumba ya nyasi usitegemee kuwa na choo cha kisasa 'asian type' au choo bora , sana watakua na choo cha shimo na kuzungushwa ukuta wa nyasi... Ushauri wangu kwa mh mkuu wa mkoa...vyoo ni muhimu...lkn viwe safi kwa teknolojia nafuu ya majivu ambayo inaondoa harufu na inzi...elimu ni bora kuliko ubabe wa kuwaongezea umaskini na majonzi, pia kuweka chuki zisizo na maana kwa serikali na 'watawala'... naomba kuwasilisha....
Mkuu wa mkoa auze vx lake kisha awagawie hao wanakijij kila kaya elf 12 then awape miezi mitatu wasipojenga hivo vyote akamate kijiji kizima ndani.V8 moja sawa na vyoo elf 20000 sawa kwa mkoa mzima zipo v8 ngapi?Kabla ya kuandika ulichokiandika ingetakiwa upate elimu ya kutosha juu ya vyoo na aina zake. Ni vema ukaelewa Serikali haina tatizo katika agizo hili tatizo lipo kwa sisi wananchi na elewa maagizo haya ni kwa nchi nzima.
Labda nikupe elimu kidogo juu ya Vyoo. Kuna vyoo vya aina isiyopungua 5
1. Choo cha asili
2. Choo cha asili kilichoboreshwa
3. Choo chenye bomba la hewa VIP
4. Vyoo vya kutumia maji
5. Choo cha ecolojia
Hapo elewa serikali inatataka angalau kila nyumba kwa vijijini iwe choo cha asili kilichoreshwa kwani ni cha gharama nafuu na ukuta pamoja na kuhezekwa wanatumia vifaa vya asili vilivyopo katika maeneo yao isipokuwa sakafu ndio uhitaji iwe ya cement ili kurasha usafishaji, na bampa la sakafu haizidi Tsh. 12,000/=
**Je ni kweli hatuwezi kujenga vyoo bora au tunafanya makusudi?
Ni vema umenielewesha vizuri...lkn upeo wako ni mdogo kiasi...hujui hali ya kiuchumi ikoje vijijini especially sehemu lilikotolewa tamko...ungeziona nyumba zao zilivyo usingesema mambo ya shs 12,000/ za maboresho..kama hawezi kusakafia sebule yake...ataweza kweli hiho unalosema....kwanza ni lazima ukuta uwe wa udongo...mm nimeongelea ukuta wa nyasi....elewa mada vizuri kabla ya ku critisize!!!Kabla ya kuandika ulichokiandika ingetakiwa upate elimu ya kutosha juu ya vyoo na aina zake. Ni vema ukaelewa Serikali haina tatizo katika agizo hili tatizo lipo kwa sisi wananchi na elewa maagizo haya ni kwa nchi nzima.
Labda nikupe elimu kidogo juu ya Vyoo. Kuna vyoo vya aina isiyopungua 5
1. Choo cha asili
2. Choo cha asili kilichoboreshwa
3. Choo chenye bomba la hewa VIP
4. Vyoo vya kutumia maji
5. Choo cha ecolojia
Hapo elewa serikali inatataka angalau kila nyumba kwa vijijini iwe choo cha asili kilichoreshwa kwani ni cha gharama nafuu na ukuta pamoja na kuhezekwa wanatumia vifaa vya asili vilivyopo katika maeneo yao isipokuwa sakafu ndio uhitaji iwe ya cement ili kurasha usafishaji, na bampa la sakafu haizidi Tsh. 12,000/=
**Je ni kweli hatuwezi kujenga vyoo bora au tunafanya makusudi?
iliopita,ktk mkoa wa katavi mkuu wa mkoa huo mh Makala alisikika akiwaambia wakazi wa vijijini kua zoezi la ubomoaji wa vyoo visivyo na ubora litaendelea,wametoa muda kwa wakazi hao kuviboresha..
Hiki ni choo kinapatikana maeneo ya mijini. Je huyu naye Hana uwezo wa kujenga choo?Wiki iliopita,ktk mkoa wa katavi mkuu wa mkoa huo mh Makala alisikika akiwaambia wakazi wa vijijini kua zoezi la ubomoaji wa vyoo visivyo na ubora litaendelea,wametoa muda kwa wakazi hao kuviboresha....sipingani na maamuzi hayo...lkn ukweli maamuzi mengine hayana mashiko au yametolewa kwa mihemko ya kisiasa...ukweli usiopingika maisha ya wengi vijijini ni duni, na hata nyumba zao pia ni duni na nyingi ni za vyasi...kupeleka mtizamo wa nyumba ni choo vijijini co sahihi...kama nyumba ya nyasi usitegemee kuwa na choo cha kisasa 'asian type' au choo bora , sana watakua na choo cha shimo na kuzungushwa ukuta wa nyasi... Ushauri wangu kwa mh mkuu wa mkoa...vyoo ni muhimu...lkn viwe safi kwa teknolojia nafuu ya majivu ambayo inaondoa harufu na inzi...elimu ni bora kuliko ubabe wa kuwaongezea umaskini na majonzi, pia kuweka chuki zisizo na maana kwa serikali na 'watawala'... naomba kuwasilisha....
duh wapi hii?Hiki ni choo kinapatikana maeneo ya mijini. Je huyu naye Hana uwezo wa kujenga choo?View attachment 877049
Nashukuru mkuu umetuonyesha choo kibovu kilichopo mjini...lkn hio co mada iliyopo mezani...mm ninaongelea Katavi!!!Hiki ni choo kinapatikana maeneo ya mijini. Je huyu naye Hana uwezo wa kujenga choo?View attachment 877049
Kati yangu mimi na wewe ni nani mwenye upeo mdogo? hivi unajua familia ikiwa na choo bora na kukitumia vizuri inaokoa kiasi gani cha fedha ambazo utumia katika matibabu yasiyo ya lazima kutokana na kuishi katika mazingira yasiyo salama? je unajua uwepo wa hivyo vyoo visivyo bora ambavyo vingi wakati wa mvua uchafua vyanzo vya maji? je ni jamii kiasi gani inaathirika kutokana na hilo?Ni vema umenielewesha vizuri...lkn upeo wako ni mdogo kiasi...hujui hali ya kiuchumi ikoje vijijini especially sehemu lilikotolewa tamko...ungeziona nyumba zao zilivyo usingesema mambo ya shs 12,000/ za maboresho..kama hawezi kusakafia sebule yake...ataweza kweli hiho unalosema....kwanza ni lazima ukuta uwe wa udongo...mm nimeongelea ukuta wa nyasi....elewa mada vizuri kabla ya ku critisize!!!
Watanzania sijui ni uvivu wa kufikiri au ni nn? Yaan kila kitu mnakimbilia kwenye umaskini wa vipato duni! Unachoshindwa kuelewa ni kuwa "ujenzi wa vyoo bora ni kwa ajili ya usalama wa afya zao na sio kwa ajili ya afya ya mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya" ....hao hao unaowatetea kuwa wana vipato duni , wakivuna mazao na kuuza wabatumia hadi laki tatu kwa ajili ya pombe tu!Ni vema umenielewesha vizuri...lkn upeo wako ni mdogo kiasi...hujui hali ya kiuchumi ikoje vijijini especially sehemu lilikotolewa tamko...ungeziona nyumba zao zilivyo usingesema mambo ya shs 12,000/ za maboresho..kama hawezi kusakafia sebule yake...ataweza kweli hiho unalosema....kwanza ni lazima ukuta uwe wa udongo...mm nimeongelea ukuta wa nyasi....elewa mada vizuri kabla ya ku critisize!!!
HahaaaHana tofauti na yule mama aliyetoka bafuni kuoga akajivua taulo na kuifunika runinga yenye video za x waliyokuwa wanaitazama wanae naye akabaki uchi wa bafuni
Bado nasisitiza...uelewa wako ni mdogo...hujafika vijijini...hujui ugumu wa maisha ya huko...ushauri wangu kwako...ukisafiri njia yyte ya vumbi huko mikoani,omba ushuke kuchuma dawa kijiji chchte...ingia nyumba za ndani...co za barabarani...angalia vyoo vyao ndipo utaelewa nina maana gani...mm nimetembea mikoa mingi...karibu yote tz na nimeenda vijijini co miji midogo...uchumi wa huko uko chini sana...ukiongelea 20,000/ acha laki 3 unayoisema ni ndoto!!Kati yangu mimi na wewe ni nani mwenye upeo mdogo? hivi unajua familia ikiwa na choo bora na kukitumia vizuri inaokoa kiasi gani cha fedha ambazo utumia katika matibabu yasiyo ya lazima kutokana na kuishi katika mazingira yasiyo salama? je unajua uwepo wa hivyo vyoo visivyo bora ambavyo vingi wakati wa mvua uchafua vyanzo vya maji? je ni jamii kiasi gani inaathirika kutokana na hilo?
Jitahidi kufikiria kwa kina ndugu sio kila kitu mnaleta siasa hata katika mambo ya msingi.
Ndugu mimi sihishi Mjini nayajua vizuri mazingira ya vijijini labda wewe unayeishi mjini na huko vijijini unapita tu ndio maana unaleta hiyo hoja isiyo na Afya kwa ajili ya maendeleo ya Taifa hili kiuchumi kwani tambua bila Afya njema uchumi wa Nchi, na familia kwa ujumla wake lazima uyumbe.Bado nasisitiza...uelewa wako ni mdogo...hujafika vijijini...hujui ugumu wa maisha ya huko...ushauri wangu kwako...ukisafiri njia yyte ya vumbi huko mikoani,omba ushuke kuchuma dawa kijiji chchte...ingia nyumba za ndani...co za barabarani...angalia vyoo vyao ndipo utaelewa nina maana gani...mm nimetembea mikoa mingi...karibu yote tz na nimeenda vijijini co miji midogo...uchumi wa huko uko chini sana...ukiongelea 20,000/ acha laki 3 unayoisema ni ndoto!!
hivyo vijiji vyenye nyumba za nyasi ni vijiji maskini sana, vijiji vingi siku hizi vina nyuma za tofali za kuchoma na bati, tena kuna umeme maduka na usafiri wa uhakika japo barabara za vumbi tena kuna maduka ya vifaa vya ujenzi, ila watu wengi wa huko suala la usafi hawalitii mkazo, kwahiyo si kila kijiji ni nyumba za nyasi, hivyo ni vijiji vya mbali sana inavuozungumzia ila vijiji vingi vishabadilikaWiki iliopita ktk mkoa wa katavi mkuu wa mkoa huo mh Makala alisikika akiwaambia wakazi wa vijijini kuwa zoezi la ubomoaji wa vyoo visivyo na ubora litaendelea, wametoa muda kwa wakazi hao kuviboresha....
Sipingani na maamuzi hayo lkn ukweli maamuzi mengine hayana mashiko au yametolewa kwa mihemko ya kisiasa...
Ukweli usiopingika maisha ya wengi vijijini ni duni, na hata nyumba zao pia ni duni na nyingi ni za vyasi...kupeleka mtizamo wa nyumba ni choo vijijini co sahihi..
Kama nyumba ya nyasi usitegemee kuwa na choo cha kisasa 'asian type' au choo bora , sana watakua na choo cha shimo na kuzungushwa ukuta wa nyasi...
Ushauri wangu kwa mh mkuu wa mkoa...vyoo ni muhimu...lkn viwe safi kwa teknolojia nafuu ya majivu ambayo inaondoa harufu na inzi..
Elimu ni bora kuliko ubabe wa kuwaongezea umaskini na majonzi, pia kuweka chuki zisizo na maana kwa serikali na 'watawala'...
Naomba kuwasilisha....
hizi huruma za 'hamjui hali ya uchumi ilivyo' nazo ni chanzo cha kufuga wavivu na maradhi, nakwambia hivyo vyoo vikibomolewa vipya vitajengwa utabaki unashangaa, hakuna cha gharama wala nini saa nyingine serikali inabidi itumie mkono wa chuma, wakishabomolewa utaona watavyo hamasika kujenga, huruma hazijengi, moyo mgumu kuna mida unahitajikaNi vema umenielewesha vizuri...lkn upeo wako ni mdogo kiasi...hujui hali ya kiuchumi ikoje vijijini especially sehemu lilikotolewa tamko...ungeziona nyumba zao zilivyo usingesema mambo ya shs 12,000/ za maboresho..kama hawezi kusakafia sebule yake...ataweza kweli hiho unalosema....kwanza ni lazima ukuta uwe wa udongo...mm nimeongelea ukuta wa nyasi....elewa mada vizuri kabla ya ku critisize!!!
Wiki iliopita ktk mkoa wa katavi mkuu wa mkoa huo mh Makala alisikika akiwaambia wakazi wa vijijini kuwa zoezi la ubomoaji wa vyoo visivyo na ubora litaendelea, wametoa muda kwa wakazi hao kuviboresha....
Sipingani na maamuzi hayo lkn ukweli maamuzi mengine hayana mashiko au yametolewa kwa mihemko ya kisiasa...
Ukweli usiopingika maisha ya wengi vijijini ni duni, na hata nyumba zao pia ni duni na nyingi ni za vyasi...kupeleka mtizamo wa nyumba ni choo vijijini co sahihi..
Kama nyumba ya nyasi usitegemee kuwa na choo cha kisasa 'asian type' au choo bora , sana watakua na choo cha shimo na kuzungushwa ukuta wa nyasi...
Ushauri wangu kwa mh mkuu wa mkoa...vyoo ni muhimu...lkn viwe safi kwa teknolojia nafuu ya majivu ambayo inaondoa harufu na inzi..
Elimu ni bora kuliko ubabe wa kuwaongezea umaskini na majonzi, pia kuweka chuki zisizo na maana kwa serikali na 'watawala'...
Naomba kuwasilisha....
Unasema bila kufikiria uhalisia...usiwe na mawazo ya watawata au niseme ya mtt mdogo anaficha uso akifikiria kajificha mwili mzima...unaangalia ubora wa nyumba za barabarani una generalize....tembea vijijini uone uhalisia...pesa ndogo wanayopata ni kwa mahitaji ya mavazi na chakula kingine kama chumvi,mboga,nk...usilazimishe kitu unachofikiria ni ukweli ambao co uhalisia kwa maisha ya vijijini....Watanzania sijui ni uvivu wa kufikiri au ni nn? Yaan kila kitu mnakimbilia kwenye umaskini wa vipato duni! Unachoshindwa kuelewa ni kuwa "ujenzi wa vyoo bora ni kwa ajili ya usalama wa afya zao na sio kwa ajili ya afya ya mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya" ....hao hao unaowatetea kuwa wana vipato duni , wakivuna mazao na kuuza wabatumia hadi laki tatu kwa ajili ya pombe tu!