wateja walio nyumbani kuupata mazigo wao ni rahisi.
Binafsi natuma makontena yangu mwenyewe kati ya toronto na zanzibar.
Iwapo mteja tumefahamiana bei .itamlazimu mteja kuniachia deposit kwa mujibu ya mzigo anaoutaka.
Deposit hii ataieka in person pale mlandege zanzibar ambapo ndio tunapoendesha biashara zetu za kifamilia.
Nikipokea deposit natuma mzigo na baada ya mzigo kufika ( miezi miwili) tunamaliziana malipo na kukabidhiana mizigo yetu