Vyama zaidi ya 10 vyajiandaa kwa marudio ya uchaguzi Zanzibar bado CUF na CHADEMA

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Baada ya kauli ya rais wa Zanzibar Mohamed Shein zaidi ya vyama 10 vimeshaweka msimamo wake kushiriki katika uchaguzi utakaorudiwa, CCK, CCM, JAHAZ ASILIA, ACT, NRA, TADEA nk. Ingawa vyama vya CHADEMA na CUF bado havijatoa msimamo wao mpaka sasa.

252.jpg

433.jpg

532.jpg
 
Mleta mada wewe ni mwongo, ni kweli hujui msimamo wa CUF na CHADEMA?
 
wewe ni kibaraka wa MAGAMBA sio bure.ina maana msimamo wa CUF kuhusu kurudiwa uchaguzi zanzibar huujui???
 
Hizi picha ni za kipindi kabla ya uchaguzi,mtoa mada msimamo ya hivyo vyama vyengine redio gn vilitangaza?
 
Kiongozi Mkuu si anataka Maalim atangazwe?. Inakuwaje ananyatia tena marudio ya uchaguzi?
 
Zanzibar kuna vyama kumi kweli vya siasa? Taarifa zilizopo ni kuwa vipo vyama viwili tu, yaani CCM na CUF.
 
Mleta mada wewe ni mwongo, ni kweli hujui msimamo wa CUF na CHADEMA?
Je cuf na chadema wameshatoka tamko rasmi la ama kushiriki au kutoshiriki katika uchaguzi mpya wa marudio baada ya tarehe kutangazwa?
Kama unalo tamko lao tuwekee hapa tafadhali.
 
Back
Top Bottom