Vyama vya wafanyakazi vinaongozwa na mapandikizi ya chama fulani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,920
Hivi kweli nchi hii kuna vyama vya wafanyakazi?

Wafanyakazi wanakatwa mishahara kulipa mishara na marupurupu ya mapandikizi?

Wana msaada gani hawa kwa wafanyakazi kama sio wanyonyaji tu?

Watu hawa wana tofauti gani na wasaliti?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom