Vyama vya upinzani tumbueni majipu ya Wenyeviti

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,158
417
Kimsingi Wenyeviti wa vyama vya upinzani wasipo kuwa wabunifu ili kuendana na kasi ya CCM chini ya JPM, vyama vyao vitakufa kisiasa kwani kila kukicha katika maeneo mengi hasa mitandao ya kijamii hoja zinzojadiiwa ni za CCM, ziwe za kutumbua majipu au la.

Kwa hali hii, vyama vya upinzaani vinapotea masikioni mwa watu kwasababu havishiki headlines.
 
Back
Top Bottom