Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,735
- 972
Nimemsikiliza kwa makini mheshimiwa Rais katika hotuba yake jana baada kupokea taarifa ya tume ya uchunguzi wa kontena zenye mchanga wenye madini.Binafsi nampongeza sana kwanza kwa kuunda tume hiyo pia kwa maamuzi aliyoyachukua.
Natoa wito kwa vyama vya upinzani kuitisha maandamano nchi nzima ya kumpongeza mheshimiwa Rais kwa jitihada zake za kupambana na ufisadi,pia kuunga mkono hotuba ya Rais..bilashaka hii italeta taswira sahihi ya siasa ya kile walichokipigia kelele kwa muda mrefu.Naomba kuwasilisha