Vyama vingi Ni Bunduki Kwa Waafrika,Vifutwe tu.!

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Nimekaa na kufikiri huu mfumo wa vyama vyingi ni silaha ya wazungu ya kutuangamiza waafrica.
Inakuwaje wao wanakabidhiana madaraka bila damu kwetu inakuwa mtihani?
Kuliko viongozi wa Africa kukaa na kupanga namna ya kujitoa ICC ni bora wakae na kuona namna ya kurudisha mfumo wa chama kimoja.
Ni lini watawala Africa wataheshu maamuzi ya wananchi?
Salva kiiry baada ya watu kufa,Leo amemrudisha Rick machary kwenye nafasi ile ile,Ni upuuzi na unyama mkubwa.Alibisha nini na amefanya nini?
Waafrica tunalaana?Kheri turudi kwenye chama kimoja tuchague mtu kuliko hali hii ya kuchagua chama ambacho hakikabidhiwi dola.
 
Back
Top Bottom