Kama unatarajia watu wa upinzani ni lazima watoke kuzimu,basi utasubiri sana na pingine tukakuzika na bado awajatokea ,ivi umisaau ka WaTz wote walikuwa Tanu na ASP na baadae ZZM ? Ukiwa mwanachama au uziwe mwanachama Raisi ni Nyerere tu au mwengine yeyote atokanae na CCM.