Vyakula vya mitandaoni kinakuwa kingi, ukienda unapewa kiduchu

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,843
Nazungumzia hawa wenye migahawa mikubwa kama Esha Buheti, Shishi food, Sele Bonge, kazimoto Pork, Nyumbani lounge, Sea food restaurant, na wenye restaurant kubwa hapa mjini waache utapeli wa kuonyesha chakula kizuri kina nyama lundo, samaki zaidi ya kumi, mapaja ya kuku kama saba hivi ila ukifika Sasa physically ukaagiza unaletea viwali kiduchu, nyama vinyango mbili na maharage afu unaambiwa 12000 pumbavu kabisa.

Acheni uhuni kwann vyakula mnavyolusha mitandaoni unaonyesha kingi kwenye sahani na nyama au samaki za kutosha ila tukija tunapigwa mchinjo wa maana unapewa Wali kidogo na kipande tu cha jodari fullstop.

N. B. Sina hatimiliki ya hizi picha.
1686509988978.jpg
1684771629139.jpg
1684395662445.jpg
1675664053275.jpg
1677521367181.jpg
Screenshot_20230314-102447.jpg
 
Nazungumzia hawa wenye migahawa mikubwa kama Esha Buheti, Shishi food, Sele Bonge, kazimoto Pork, Nyumbani lounge, Sea food restaurant, na wenye restaurant kubwa hapa mjini waache utapeli wa kuonyesha chakula kizuri kina nyama lundo, samaki zaidi ya kumi, mapaja ya kuku kama saba hivi ila ukifika Sasa physically ukaagiza unaletea viwali kiduchu, nyama vinyango mbili na maharage afu unaambiwa 12000 pumbavu kabisa.

Acheni uhuni kwann vyakula mnavyolusha mitandaoni unaonyesha kingi kwenye sahani na nyama au samaki za kutosha ila tukija tunapigwa mchinjo wa maana unapewa Wali kidogo na kipande tu cha jodari fullstop.

N. B. Sina hatimiliki ya hizi picha. View attachment 2654902View attachment 2654903View attachment 2654904View attachment 2654905View attachment 2654906View attachment 2654908
Uko sahih mkuu Bora umesema wew
 
Back
Top Bottom