wakwetu_tz
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 122
- 171
πππ haya bwana.Ila tunapoelekea tutakunywa chai ya miwa badaya ya kuweka sukari..Kodisha shamba ulime miwa, mahindi na viazi mkuu ili kuepukana na hizo bugudha.
Itatupunguzia magonjwa nyemelezi mkuu.πππ haya bwana.Ila tunapoelekea tutakunywa chai ya miwa badaya ya kuweka sukari..
ukiwa na njaa huwezi kujenga viwanda na miundombinu mkuuHayo mambo madogomadogo kwa nini unayajali mkuu? Come karibu tujenge viwanda na miundombinu, kula baadaye. Lazima uwe na kipaumbele mkuu. Au unalimia meno? Hahahahaaa
Weye unakataa lakini ndivyo tunaaminishwa iwe. Kwani hukuona Kagera walijengewa miundombinu lakini hawakupewa ugali? Unaaminishwa katika vitu na si mtu /utu! Lazima ulime kwa kutumia meno. Hahahahaaa!ukiwa na njaa huwezi kujenga viwanda na miundombinu mkuu
πππWeye unakataa lakini ndivyo tunaaminishwa iwe. Kwani hukuona Kagera walijengewa miundombinu lakini hawakupewa ugali? Unaaminishwa katika vitu na si mtu /utu! Lazima ulime kwa kutumia meno. Hahahahaaa!
Alaa... kumbe kuna tatizo la sembe eneo hilo (chakula!?). Sasa ya nini kuifanya migumu mioyo yenu kwa hii miti mibichi? Hata hivyo mkuu, kusema (kuandika?) kuwa kuna tatizo la "sembe" si kwamba ilikatazwa? Hahahahaaa!Naona kuna tatizo la chakula zaidi Sembe ukanda wa Afrika ya Mashariki kupanda bei nilisikia malalamiko ya wakenya Jana na pia Rwanda na Burundi kupitia BBC