Vya kiume

kuongea rahisi sana ila siku yakikukuta ndo utajua!
 

mzee unatisha. Una data zote.......
 
msilaum sana,mjue kuna wnawake wenye homon za kike na wapo wanawake weny homon za kiume,kwa hiyo wakti mwingine mtoto wa kiume anaweza kufanana biti kimwonekano hadi ktabia *tangu utotoni licha ya malezi mazuri utakayo mpa.NIkimsoma huyo jamaa pichani anaonekana yupo natural,muone hata midomo yake ni kama ya kike kabisa*
 

hata kama hawa jamaa mnasema ni mavictim wa malez ila mi siwez kuwaunga mkono hata kidogo kidogo kwan ubaya wa malez tunaupeleka kwa wazazi wao ila kwanini wao washindwe kukaza hata kidogo kwani walisahau kuwa wao ni watoto wa kiume? achana na hayo hata kama hawa wapumbavu wwaliharibikia mashulen inamaana walishakuwa na akili ya utambuzi wa mema pia mabaya walishindwaje pia hapo kwan napo ni pakuwalaumu walezi? Hebu tazama mfano mdogo tu wa wale wanaoharibikia gerezani kwani nao hukutwa na hayo kama tu unapenda kujilegeza kwa kupenda ulinzi kutoka kwa wa kiume mwenzio au kama si ulinzi basi ulipenda kula kwa msaada wa wa kiume mwenzio kama sio yote basi ni vitu vidogo tu kama vile cigarates!!!!! Je hayo nayo ni malezi!!!! Ila tusiwe watu wa lawama kupita kiasi kwani wapo pia wenye mapungufu yakibiologia!!!
 
aisee si maskhara hata kidogo....wameshaathiriwa na alkudhuv bactofactor
 
Ivi Mnajua ushoga Upo na Una spread kama Moto wa Nyika..tutapata taabu sana na Hii Jamii...
Sababu wale wengine humjui kwa Macho na Amejikaza kweli ..kumbe naye Amelege ******..tunao wengi sana tuna Hang-out nao alaf wanajifanya wamelewa wanatuzingua

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
nimewapita hapo baa ya uhuru peak ipo mkabala na mango garden kinondoni. Huwa wapo watatu ni maarufu kwa jina la kuku watamu na muda mwingi wanafuatana na aliyekuwa mtangazaji wa c2c na mshindi wa kimwana wa twanga pepeta anayeitwa aunt lulu
it's for more data msiniulize kwa hiyo???
 

Huyo mdudu akishaingia U-turn huwa ngumu sana. Ni kuomba mungu tu Trojun
 
Basi tena vijana wa leo na mavazi yao kwishney, pengine huenda siyo shoga bali tu hico wanachosema vazi la kimodo
 
if you support gays..... you support NEW AGE MOVEMENT as well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…