darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 394
- 355
- Thread starter
- #21
Unaweza Vipi Kutolea Mfano Wa Kiumbe Hai(Mwanadamu) Na Gari? Yaani Ni Vitu Viwili Tofauti KabisaSawa... Sio Chuma Chakavu anaita Chuma Mbichi anatuonaje sisi... Yani ni kama mwanamke wa 40+ na bikra hana unamuita mtoto mbichi kisa hajazaa Duh! Mahali 100M kisa anaMSHEPU Hahahaa...
Ndio Maana Hadi Leo Kuna Gari Za Mwaka 1970 Hadi 80 Zinauzwa Bei Ghali Kuliko Hata Hizi Za Sasa.
Ivi Unaifahamu Carina T.I Ya Mwaka 2001 Kwa Sasa Showroom Inauzwa TSH 25m Na Usajili? Au Unajua Kwamba PREMIO Bukoba Ya Mwaka 2000 Kwa Sasa Showroom Ni TSH 26.5m Na Usajili?
Nina Mashaka Na Umri Wako Huenda Nikawa Najibizana Na Mtoto Wangu Wa Kumzaa Kitu Ambacho Sicho Kabisa