H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Jul 23, 2015 #1 Habari za muda wakuu, nauza VW Touran FSI ya mwaka 2004. Ina cc 1590 milango 5 na seats 7. IPO katika hali nzuri na ni namba c.
Habari za muda wakuu, nauza VW Touran FSI ya mwaka 2004. Ina cc 1590 milango 5 na seats 7. IPO katika hali nzuri na ni namba c.
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Jul 23, 2015 Thread starter #2 Picha hizo
M malenga wetu JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 283 Reaction score 198 Jul 23, 2015 #3 Eti Vw Touran ndo gari gani? gari hata jina lake hulijui, umeipata wapi?
delusions JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 5,001 Reaction score 1,292 Jul 23, 2015 #4 Vw ni gari ya heshima sana road
Gogo la choo JF-Expert Member Joined Oct 8, 2012 Posts 708 Reaction score 293 Jul 23, 2015 #5 People class..ya maana sana..vw toa bei mkuu labda tutaiweza..
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Jul 23, 2015 Thread starter #6 Inauzwa mil 9.5 mkuu
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Jul 23, 2015 Thread starter #7 malenga wetu said: Eti Vw Touran ndo gari gani? gari hata jina lake hulijui, umeipata wapi? Click to expand... Hilo ndo jina lake mkuu. Ni gari ya kwangu mwenyewe
malenga wetu said: Eti Vw Touran ndo gari gani? gari hata jina lake hulijui, umeipata wapi? Click to expand... Hilo ndo jina lake mkuu. Ni gari ya kwangu mwenyewe
Swahilian JF-Expert Member Joined Apr 28, 2009 Posts 593 Reaction score 70 Jul 23, 2015 #8 Zinaonekana ni gari nzuri sana hizi. Ni Germans made au Japan under licence??
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,335 Reaction score 134,828 Jul 23, 2015 #9 malenga wetu said: Eti Vw Touran ndo gari gani? gari hata jina lake hulijui, umeipata wapi? Click to expand... Kwasababu huijui au hujawahi kuisikia wala kuiona haina maana haipo.
malenga wetu said: Eti Vw Touran ndo gari gani? gari hata jina lake hulijui, umeipata wapi? Click to expand... Kwasababu huijui au hujawahi kuisikia wala kuiona haina maana haipo.
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Aug 5, 2015 Thread starter #10 Gari bado IPO karibuni