VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Inakuwaje unatembea na Muathirika wa HIV na haupati?
virus vinaweza kuingia kwako ila vikakuta kinga yako iko juu na baadaye vikaanza kuisha vyenyewe, hii inatokana kwa kipindi hicho diet yako ikoje.
ila vikiingia wakati kinga yako iko chini, na diet yako ni mbovu tegemea maumivu. ila ukiwahi kama video niliyotuma hii mapema vitapungua vyenyewe, ila kuna mpangilio maalamu unatakiwa kupangilia diet yako, na ushahidi ninao.
 

Attachments

  • u HIV Aids Cure 1 of 6 - YouTube(1).mp4
    13.3 MB · Views: 38
jibu ni hili omary, unaweza kupona kabisa kama ukipangilia vizuri diet yaho, na utakuwa vizuri zaidi kama ukianza mpaema mpangilio wa diet yako.
 
 
Cd4 ni nini ? Zifikie ngapi ili uanze kutumia ARV ?

Sent using Jamii Forums mobile app

People with AIDS should start ART immediately. A diagnosis of AIDS is based on the following criteria: A CD4 count less than 200 cells/mm3. A low CD4 count is a sign that HIV has severely damaged the immune system.
nimenukuu wanavyosema hapo juu.
ila kuna option kama mtu amegundulika na maambukizi hayo anaweza pia akabadili aina diet mapema, pia akaanza kutumia Dietary supplement CD4 zikaongezeka, viral load ikashuka, ila hata itakaposoma 0 baada ya miezi 3-4, inabidi asiache kwanza diet yake mpaka itakapo timia miezi 6-8, na kisha baada ya hapo anaweza kutumia vyakula vingine anavyopenda ila aendelee kupima baada ya miezi mitatu kuona kama kuna mabadiliko.
na kama iwapo anaona mamabo ni mazuri, asisahau kuendeleza kanuni za lishe (diet) kama inavyoelezwq kwenye kitabu cha medical ministry & counseling on food and diet.afurahie maisha na asirudie makosa ya zamani ya kuruka ruka hovyo
 
1) Je, kipimo cha SD bioline na UniGold vinauwezo wa kuonesha maambukizi ya muda gani tangu virusi kuingia mwilini?
2) je ,mtu ambaye ni H. I. V negative anauwezo wa kumuambikiza mwenza wake??
3) Je, mtu anaweza kuonesha dalili za H I V kwa miezi 6,ila akifanyiwa vipimo anakuwa negative??
Naomba unisaidie kwanza hayo maswali mkuu.
 

SD BIOLINE HIV-1/2
Benefits
  • Highly sensitive even to IgM during early infection stage
  • Differentiated test result between HIV type I and II by clear band formation(3-lines)
  • Specimen : Serum, Plasma (10 μl), or Whole blood(20 μl)
  • 24 months at 1-30℃
Uni-Gold
Rapid HIV-1/2 Test Results in 10 Minutes
  • Earlier detection (IgM / IgG) for optimal disease management
  • CLIA-Waived (whole blood or finger stick)
  • Moderately Complex (serum or plasma)
  • One year expiration from date of manufacturing
Performance
  • Sensitivity: HIV-1:100%; HIV-2: 99.3%
  • Specificity: 99.7%
 
Habari,

Ningependa kwa anaetambua mtu anaweza akakaa na virusi vya ukimwi kwa muda gani kabla ya kujidhihilisha kama hajapimaa?

Dalili ipi kubwa atakuwa nayo ambayo inaonyesha wazi ana Upungufu wa kinga mwilini UKIMWI?
 
Habar ..!
Ningependa kwa anaetambua mtu anaweza akakaa na virusi vya ukimwi kwa mda gan kabra ya kujizihilisha kama hajapimaa??na dalili ipi kubwa atakuwa nayo ambayo inaonyesha wazi ana Upungufu wa kinga nwilinii??UKIMWIIIII..!

Kwa anaetabua please
 
Mkuu nenda kapime kwanza ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini so dalili yoyote inaweza ikawa sababu hata kipele kimoja kwenye mwili kama una wasiwasi nenda kapime.
 
Asante mkuu sema kwenye kupima hapo ni tabu nyingne
Mkuu ukimwi una dalili nyingi mno, muhimu ni kupima maana naweza kuandika baadhi ya dalili ukaanza kujiweka na mawazo hali ya kuwa huna virus, kujua afya yako ni bora hapa utatoka na presha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…