VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Window period ya kipimo cha SD Bioline - HIV 1/2 : 3 :0 ni siku ngapi (wiki ngapi ) ?
 
Window period ya kipimo cha SD Bioline - HIV 1/2 : 3 :0 ni siku ngapi (wiki ngapi ) ?
Window period ni kipindi ambacho mtu ana maambukizi lakini bado hayawezi kutambulika katika kipimo kwa sababu antibodies hazijafanyika. Katika kipindi hiki mtu anakuwa na uwezo wa kuambukiza mtu mwingine.

Uliza swali lako vizuri. Unataka kujua nini.
 
HIV ni virus kama inavyosemekana au ni free genetic material ambayo inabadili Cell nucleulous na kupelekea mwili kubadilika,Nategemea jibu ukibase kwenye concept ya DNA/RNA replication
 
Paranoid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIV ni virus kama inavyosemekana au ni free genetic material ambayo inabadili Cell nucleulous na kupelekea mwili kubadilika,Nategemea jibu ukibase kwenye concept ya DNA/RNA replication
Virus mzima anaingia kwenye seli ya binadamu. Virus huyu ana genetic material ambayo ni RNA. ANAPOFIKA Kwenye seli anabadilisha RNA kwenda kwenye DNA ambao humsaidia kutengeneza particle nyingi za virusi. Lakini pia huzalisha RNA nyingi nyingi zaidi
 
Kwa hiyo UKIMWI ni matatizo ya Kigenetiki ambayo husababishwa na HIV? mimi siamini HIV ni virus kama wanavyosema,inabidi atafutiwe maelezo mengine,je haiwezekani Ku modify RNA yake ili isiwe na madhara kwa binadamu
 
Kwani mkuu ulowala wengi wao washakula chepe mpaka unajiamini hivyo!!?


Kwa mfano kipimo hichokina uwezo wa Ku detect kuwa mtu ameathirika baada ya siku ngapi tangu siku aliyoambukizwa? Zamani ilikuwa ni Miezimitatu, Na hiki je?
 

Je inachukua wiki ngapi kwa kipimo hiki kubaini uwepo wa maambukizi tangu siku ya kuuza mechi hadi siku ya kupima?
 
Mkuu si rahisi watu wakakuelewa, Una jambo zuri Sana, Ila elimu Hii ya wasomi wetu hawawezi kuhoji nje ya box

Namfananisha msomi wa Africa na muumini wa dini hizi zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Biological name ninavyojua Mimi lazima iwe na generic name and specie name, Hapo kwa HIV virus Mbona haliendani na Hii rule?

Correct me if I'm wrong

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu si rahisi watu wakakuelewa, Una jambo zuri Sana, Ila elimu Hii ya wasomi wetu hawawezi kuhoji nje ya box

Namfananisha msomi wa Africa na muumini wa dini hizi zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
HIV ingekuwa kama EBOLA au mafua ya ndege ingekuwa rahisi sana kuicontain lakini kwa sababu in incubation period ndefu sana na mutation inayotokea ndio maana imechukuwa muda mrefu sana kuicontain. Hata hivyo kwa juhudi zinazoendelea itakuwa contained tu.
 
Mbona kuna taarifa kuwa HIV Hawakai kwenye shahawa?
Bwana Monseur ni hivi virusi wanakaa kwenye seli nyeupe za damu. Na kazi ya seli nyeupe za damu ni kutoa ulinzi kwenye mwili. Kwa hiyo hizi seli zinauwezo wakuwepo sehemu yoyote ambako zitapambana na magonjwa. Kwa hiyo zinaweza kuwa kwenye maniii nk nk

Ndio maana hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…