Vurugu za Korea Kaskazini inawezekana ni karata dume anayocheza China

Weka evidence hiyo ya wizi ili tumuhukumu sisi sote
Mkuu ushahidi nina kwa sababu ninauhakika na ninachokiongea, sijaandika 4 almost two weeks no maana hajaleta thread nyingine yoyote haja uwezo huo, hizi kazi nimeandika mimi, nyingine ameiweka Jamie intelligence kuhusu jiji la Brussels na shughuli za kijasusi,zote nimeandika mimi.
 
sasa mkuu maneno matupu hayatasaidia ndugu
 
Mkuu nilitaka kujua ile submarine ya kirusi iliyokuwa na kombora la Nyuklia torpedo ilikuwaje baada kupingana kulipua kombora walitekwa au walijisalimisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe tatzo amechukua kama ilivyo haabadili hata nukta moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni Mdada kweli?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…