Sio Moravian tu hata KKKT, WAISLAMU, ANGLIKAN, SABATO, na 'vioski' kama vile vya akina mlima wa moto, upako, ufufuo, Kobe,efata vyote ni matatizo matupu kutokana na UMIMI! ndani ya Roman hakuna ujinga huu!
Makanisa yaliyoazishwa na wanadamu ndio zao kugombea madaraka ya 'KULA' ila ktk kanisa aliloacha YESU huwezi kukuta mambo ya kijinga kama hayo nalo ni kanisa KATOLIKI! hakuna ujinga ujinga!
Una uhakika?? Yesu akuacha kanisa aliacha
wanafunzi wake na akawambia wakae pale mpaka wapate nguvu ya Roho mtakatifu na kanisa lilianza siku ya Pentekoste baada ya nguvu Ya Roho mtakatifu kuwa shukia na kuanza kunena kwa Lugha mpya na watu Wengi wakawa waamini.sasa Biblia haikutaja jina la kanisa hilo.
Sio Moravian tu hata KKKT, WAISLAMU, ANGLIKAN, SABATO, na 'vioski' kama vile vya akina mlima wa moto, upako, ufufuo, Kobe,efata vyote ni matatizo matupu kutokana na UMIMI! ndani ya Roman hakuna ujinga huu!
Madhara ya kuchagua viongozi wa dini kwa nyia ya kura za waumini.ni lazima kama ilivyo kwenye siasa yawepo makundi makundi ya kampeni na yanayotaka mgombea wao ashinde ili wapate upendeleo fulani, pindi mgombea wao anaposhindwa hujisahau kuwa ni watu wa dini na kurudi kwenye asili yao....."roma locuta est - causa finita est"
ivi mchungaji huchaguliwa ama anasomea kazi iyo na kuqualify?
na si huwa wanapangwa kwenye vituo vya kazi?? ukiona hivyo ujue rooho wa Mungu hapo hayupo manake Mungu hujiteuliya wachungaji wake.
ndio mana nasema RC are much better katika kupata mapadri watakao kuwa maparoko
Jamaani guys, msiseme hivyo hata kidogo xx hakuna mambo kama hayo wala yy hakuna mambo kama hayo. Zengwe zipo kila mahali, habari insema katika uteuzi askofu hakufuata taratibu za uteuzi(hakukua na fair apointment kwa waliopendekezwa).
Tumeona zengwe nyingi kila kona kwenye cozi za upadri, uteuzi wa maaskofu, makadinari,Pope,wachungaji nk.
Please dont choose a side sababu binadamu tulio wengi ni selfish na Mungu ni mtu wa kusamehe.