poleni, sana
Mungu tunakuomba uepushe janga hili linalonyemelea chaguzi hizi,
zaidi yote amani itawale
Pigaaaaaaaaa! Samahani lakini!
Wamejijeruhi wenyewe ili wapate kura za huruma. Maccm majinga!
Huu uhuni umeasisiwa na chama fulani, haukuwa utamaduni wetu hapo kabla kukatana mapanga hivi.
Kama unakijua nenda Police ukawape Maelezo sio humu Jf
inawezekana mkuu, maana hata wanachama wa cdm kwa mfano huko sombetini nasikia wanapigwa sana mapanga na wafuasi wa..Huu uhuni umeasisiwa na chama fulani, haukuwa utamaduni wetu hapo kabla kukatana mapanga hivi.
kila kitu ni chadema, hata m..k.e.o ak.i. Ja.mb.a utasikia cdm. Hakika cdm wanaongoza nchi!hawa ni chadema na akili zao mbovu wanadhani siasa ni ugomvi.