Vumbi lafunika anga

Vumbi lafunika anga

big_in

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
4,507
Reaction score
1,105
VUMBI LAFUNIKA ANGA: Vumbi zito latishia uhai wa wakazi wa Gairo, Kibaigwa, Kongwa na Dodoma mjini jioni hii; lazagaa na kutanda angani; watu wajifungia ndani.
 
Hivi mkuu nipo ndani kidooogo kuna afadhali, mlimwa ilikuwa haionekani kabisa yaani ni shiida mkuu nilipo umeme hakuna halafu milango na madirisha tumefunga na joto hili basi tabu tupu
 
Ccm kwisha......ndo dalili kwa sisi wanajimu
 
ni kawaida kwa wakati huu then baada ya wiki mbili mvua inaanza kunyesha
 
Me mwenyewe nimepita maeneo ya mjini nikaogopa saana ikabdi nirud kuchek game ya man u home tu... vumbi lilikua jingi saana all over dom town
 
VUMBI LAFUNIKA ANGA: Vumbi zito latishia uhai wa wakazi wa Gairo, Kibaigwa, Kongwa na Dodoma mjini jioni hii; lazagaa na kutanda angani; watu wajifungia ndani.
Mkuu hilo vumbi linamaanisha uchafu wa rasimu ya katiba mpya ya CCM iliyopendekezwa na Chenge na Samwel 6. Hivyo wananchi wanataadharishwa wakiiendekeza au kuendelea kuisoma vumbi litajaa machoni mwao. Over!
 
Back
Top Bottom