kitaruo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 200
- 163
Habar za jumapili wadau, polen kwa kaz, natumain muwazima wa afya na aman!
Bila kuchelewa, ngoja niende straight to point.
Mwaka juz, nilianza kusikia marafiki zangu wa kizungumza kuhusu vumbi la kongo, sikutilia maanan kwasababu likua busy na xul.
Lakin mara kwa mara nimesikia vijana wakizungumza kuhusu, hiki kitu kinaitwa vumbi la kongo.
Rafiki yangu nilipo muulizia akanieleza , akaniambia, ni dawa ya asili, kutoka kongo, ambayo huongeza nguvu za kiume.
Inaoneza vip?' Akaniambia kuwa, unapakaa na maji kwenye kichwa cha uume, yaan dushell, hii ni kabla ya kuingia kwenye tendo lenyewe, yaan kabla ya kugegeda...
Nataman sana kujua, nataman sana kuitumia, lakin ali nisisitiza , inamadhara siku za huson, akasisitiza niwe makin
Sent using Jamii Forums mobile app