VPL: Simba v Prisons 28-02-2015

Prison mbona mnamnyima raha hivyo mkuu Freeland?

Mkuu mimi sijasema siipendi simba
Mimi ni shabiki na mwanachama wa Simba
Ninachokitaka mimi ni extent ya matatizo ifanyiwe kazi
Kitakachotokea sasahivi ni viongozi watajificha kwenye siasa
Next match tunapigwa....
 
Ratiba ya simba siku hz,kila mechi wanayoshinda inayofatA wanafungwa,nawaombea kila la heri mshinde mechi ya leo ili mechi ijayo.....

Imeshakuwa kila la kheri tena. Draw huitaki tena. Hahahaaa Yebo yebo bana.
 
Hajib tena goli la tatu kwa penati, Dak 42; Simba 3-0 Prison.
 
Ibrahim Hajib anafunga hat-trick yake ya kwanza akiipatia Simbasc36 bao la 3.
 
Last edited by a moderator:
Sasa mtaona mkutano wa kesho utakavyokua vicheko....then next match tunapigwa....na inayofuata tuna draw

Mkuu be positive, acha kuwaza mabaya tu, wewe unadhani timu ikifanya vibaya ndo mkutano utaenda vizuri? si ajabu watu wakadundana kwenye mkutano na kuondoka bila mwafaka wowote.
 
Prison daraja la kwanza linawahusu.
 
Habari zisizo thibitishwa : captain Komba amefariki Dunia.
 
Pamoja na haya matokeo, bado uongozi unatakiwa ukae chini na kutafuta njia ya kufuta tofauti za wanachama.
Alafu nilikuwa naangalia sports bar jana, kuna mtangazaji alisema kuwa ni tetesi tu, hakuwa na uhakika ila alipenyezewa kuwa simba iliwasili jana asubuhi toka shinyanga, sasa kama hizi ni habari za kweli, uongozi una matatizo zaidi ya wanasimba tujuavyo.
 
Mkuu be positive, acha kuwaza mabaya tu, wewe unadhani timu ikifanya vibaya ndo mkutano utaenda vizuri? si ajabu watu wakadundana kwenye mkutano na kuondoka bila mwafaka wowote.

Mkuu.....ngoja niache kuliongelea hilo

Mwisho wa ligi tutakuja kuyakumbuka haya maneno yangu
 

Ilikuwa inafanya nini muda wote huo huko Shinyanga??
 
Nyambafu sana prison, yaani mnakubali kufungwa hata na mikia!!!!
 

Mimi nimesema hapa kwenye post zangu za mwanzo ...kina Masuke hawanielewi...wanaona niko negative na timu

Simba kuna matatizo makubwa

Kushinda hivi kwa kubahatisha ndio kichaka cha viongozi kuficha uchi

Na mficha uchi hazai
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…