sasa wote tumepita huko ambao hawajapita huko wameanzia labda nyumba za urithi!!!!!! na wachache awlioanzia kota au waliopangiwa na makampuni na mashirika!!unashangaa hapo uko peke yako watu tumeanza na single rum afu tupo wanne na tuna mademu na tunatembelewa na ndugu!
Usitanue upaja kama msuli mdogo kama huo ndio uwezo wako panga hivyo hvyo usione watu wanatembelea vogue wametoka hukohuko chumba kimoja!!
Mbna me naenjoy sna tu kka hyo life style sema tu linamatter na age yako pia, la msingi uwe msafi na getho ulipige na vyombo vya uhakika!
Acha maskhara jamaangu, chumba kimoja watu wanne na mna madem!! na bado mnatembelewa na wazazi! ngumu kuamini aisee!!
Jitahidi angalau upate chumba na sebule,chumba 1 du sasa chupi utaanika wapi?,ukitembelewa na bi mkubwa na dadazako nguo utabadilishia wapi?,ok ni mtizamo wangu tu.
wengine bado wanatembelea vogue lakini wanaishi chumba kimoja, bongo bana
sasa kimbiji ni kijijini? mwambie aje kyela huku aje kulima mchele
Acha maskhara jamaangu, chumba kimoja watu wanne na mna madem!! na bado mnatembelewa na wazazi! ngumu kuamini aisee!!
Dah...!!
Nimekumbuka mbali sana nilipoanza maisha kwenye chumba 1, lakini leo namiliki mijengo 2 ya kawaida. Lakini huku nilipo bado naishi kwenye chumba 1.
Wekomaa tu usione hatari, and something is better than northing. Just pull up your sox brother

ni masharti ya mganga au??
Mijengo ipo Tz, na mm nipo nje ya Tz mkuuUna mijengo miwili na bado huko ulipo inaishi chumba kimoja, umejenga wapi hiyo mijengo nawewe unaishi wapi sasa!!
Nchi ngumu