Huo ndo uwezo wako(chumba kimoja),usilazimishe jambo usilo uweza nalo ila jitahidi uongeze bidii ili uongeze chumba kingine kwa uhuru zaid especially unapopata wageni,afu wageni wanaokutembelea inabidi nao wawe waelewa kua uwezo wako ni mdogo by that way wawe tayari kukabiliana na hali yoyote nyumbani kwako!