Volvo V40

EHK

Member
Joined
May 19, 2011
Posts
80
Reaction score
109
Habari wadau
Tafadhari naomba uzoefu kwa mtu amewahi kumiliki ama yupo familiar na Volvo V40 (hasa ya 2012-2019). Ningependa kujua juu ya reliability, common issues, fuel consumption na availability ya mafundi na spares kwa hapa TZ. Nmekuwa napita pita mtandaoni naona ni gari yenye features nzuri sana na affordable naamini kutakuwa na mtu mwenye mawili matatu nayo.
So far details nilizonazo najua ina options mbili, diesel na petrol na zinaanzia cc1600 mpaka zaidi ya 2000. Ningependa mtu ataeshare experience aseme yeye ana uzoefu na yenye options zipi na mwaka gani. Natanguliza shukrani.
 
Haya magari yameanza kuwa mengi mtaani hata hapa jamiiforum kuna jamaa analo Volvo...ngoja nimtafute aje kutoa mwongozo
 
Chukua bila kusita ni gari ngumu nzuri na very unique.. Chukua ya diesel ndio utafaidi zaidi
 
Hii gari ipo kwenye fuel consumption inategemea na aina ya engine mfano: unapata kiolomita 15-17 kwa lita kama ni petroli au 20 hadi 25 kama ni diseli.
Common issues ni DPF kama unatimia diseli, sensors kuchoka na sa nyingine oil kuvuja kwenye turbo au valve casket
Spare parts kwa kuwa hizo gari zipo chache bongo Spare parts ake zinapatikana kwa uchache pia ila nyingi huagizwa
Na import hizo spare kama unataka, tunaweza kuwasiliana.
 
Reactions: EHK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…