Naitwa Baraka Ally.Mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza course ya Culture Anthropology and Tourism katika chuo kikuu cha iringa zamani Tumaini. Hivi punde mwezi wa 7 tutafunga chuo hivyo basi naomba mtu yeyote anae jihusisha na masuala ya utalii na mahotelini niko tayali kujitolea kufanya kazi mkoa wowote ule Tanzania. Kwa miezi mitatu
Mawasiliano 0686828265
Email ramadhanibaraka704@gmail.com
Mawasiliano 0686828265
Email ramadhanibaraka704@gmail.com