volunteer positions feb 2014

mbuyula

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
389
Reaction score
68
naombeni msaada kwa anayejua office yoyote nnayoweza kujitolea PROCUREMENT nimepeleka barua office kibao naona kimya. naitaji kupata experience nipo DAR
 
Mambo ya kujotolea wakati wenzio mwisho wa mwezi wanakunja mshiko ndo kitu ambacho kilishanishinda toka namaliza chuo.Bora utafute ajira sababu siku hizi nguvu unayotumia kutafuta ajira ya kujitolea haina tofauti na nguvu unayotumia kutafuta ajira ya kulipwa.
 
kupata kazi bila experience ni ngumu mkuu nimekosa kazi nzuri akapewa mwenye uzoefu japo nilifanya vizuri sana katika oral interview kwenye kampuni moja hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…