H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 May 20, 2015 #1 Gari aina ya Volkswagen touran 1.6FSI ya mwaka 2004 inauzwa. Ina km 120,000 cc1590 ni automatic inayotumia petrol. Ina milango 5 na siti 7 Iko kwenye hali nzuri ni namba c.
Gari aina ya Volkswagen touran 1.6FSI ya mwaka 2004 inauzwa. Ina km 120,000 cc1590 ni automatic inayotumia petrol. Ina milango 5 na siti 7 Iko kwenye hali nzuri ni namba c.
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,722 Reaction score 6,593 May 20, 2015 #2 picha zake ziko wapi?
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 May 20, 2015 Thread starter #3 Nitaweka soon mkuu
H Haki Yetu Senior Member Joined Apr 28, 2011 Posts 162 Reaction score 43 May 20, 2015 #7 Inawezekana vipi utangaze biashara mtandaoni bila kuweka picha??? Tupia picha jamvin
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 May 21, 2015 #8 soon imekuwa siku
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Jul 22, 2015 Thread starter #9 Jamani habari za kazi, nataka kuupload picha nashindwa naomba mnielekeze
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Jul 22, 2015 Thread starter #10 Inauzwa Attachments 1437584329989.jpg 43.4 KB · Views: 426 1437584346309.jpg 66.9 KB · Views: 419
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Jul 22, 2015 Thread starter #11 Inatumia petrol kwa km 12 with ac na ukiwa safari ndefu inaenda mpaka 14
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Jul 22, 2015 Thread starter #12 Inatumia petrol km 12 with ac but ukiwa safari ndefu inaenda mpaka 14
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Jul 23, 2015 Thread starter #13 Jamani picha ndo hizo nimeshaweka
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Jul 23, 2015 #14 Imetulia hii mashine ila sasa ishu iko kwenye maintenance
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Jul 23, 2015 Thread starter #15 Uzuri ni kwamba hazisumbui hata kidogo na ukifunga spare kuja kubadilisha inachukua muda sana
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Aug 4, 2015 Thread starter #16 Gari bado IPO wapendwa
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Aug 12, 2015 Thread starter #17 Touran inauzwa