Vodafone V875 smart mini

Vodafone V875 smart mini

Opticf

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
62
Reaction score
4
Simu tajwa hapo juu zinauzwa zikiwa zinakubali line zote ni mpya unafungua mwenyewe kutoka kwenye box lake. Bei 100000/=
 
Simu tajwa hapo juu zinauzwa zikiwa zinakubali line zote ni mpya unafungua mwenyewe kutoka kwenye box lake. Bei 100000/=

Unazo ngapi aise. Kuna ndugu zangu nataka niwanunulie

Just like the old days
 
PIA samsung galaxy pocket goes by 80000...0755815174. IPO dar es salaam
 
Simu tajwa hapo juu zinauzwa zikiwa zinakubali line zote ni mpya unafungua mwenyewe kutoka kwenye box lake. Bei 100000/=
Mzigo ni mzuri sana ila naomba namba zako ili nikutafute mkuu.
 
Hyo smu s nimewaulza voda wakasema inaingia lain moja tu ya voda au hiyo n ipi
 
je simu hiyo ni smart phone au vipi na kila kitu mfano, wasup , instagram,nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom