Wadau naombeni msaada namna ya kuiwezesha simu ya promotion ya VODA ambayo ina line mbili lakini Internet inakubali sim 1 ambayo ni VODA pekee lakini line2 ambayo inakaa ya mtandao wowote haina access ya internet.
Aisee kuna jamaa yupo Mafinga dakika 3 tu kitu kishafunguliwa...mi alinifungulia tablet min 7 na hiyo Vodafone ya laini mbili kwa 10000 zote simu mbili
Aisee kuna jamaa yupo Mafinga dakika 3 tu kitu kishafunguliwa...mi alinifungulia tablet min 7 na hiyo Vodafone ya laini mbili kwa 10000 zote simu mbili