mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,704 Reaction score 9,079 Mar 19, 2016 #1 Wakuu habari nina modem tajwa hapo juu naombeni msaada jinsi ya kuiunlock mana nilipo internet ya voda ni janga CHIEF MKWAWA na wengineo msaada
Wakuu habari nina modem tajwa hapo juu naombeni msaada jinsi ya kuiunlock mana nilipo internet ya voda ni janga CHIEF MKWAWA na wengineo msaada
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Mar 19, 2016 #2 mtzmweusi said: Wakuu habari nina modem tajwa hapo juu naombeni msaada jinsi ya kuiunlock mana nilipo internet ya voda ni janga CHIEF MKWAWA na wengineo msaada Click to expand... DC Unlocker wana Android app iko kwenye testing zone hivo hiyo router kama inaingiza Unlock codes jaribu ku calculate uone majibu
mtzmweusi said: Wakuu habari nina modem tajwa hapo juu naombeni msaada jinsi ya kuiunlock mana nilipo internet ya voda ni janga CHIEF MKWAWA na wengineo msaada Click to expand... DC Unlocker wana Android app iko kwenye testing zone hivo hiyo router kama inaingiza Unlock codes jaribu ku calculate uone majibu