Ila kweli aisee, hili dude halotel lina mkono wa mkwere. Haliwezi hujumiwa na voda ya Rostam ambaye kwa sasa kupitia kwa Lowasa nadhani urafiki umeisha.
Ila voda wana roho mbaya unanunua kifurushi wanakwambia muamala haujakamilika, unarudia tena hata mara tatu ukikaa kimya sasa umekata tamaa wanchukua pesa mara zote tatu na vifurushi vyote vinaishia muda mmoja sijui wana mashetani waliotoka kuzimu