Yaan mmi nimelia nao sana kwanza ile 100 huduma kwa wateja haipo huwez kuwapata, pili waongo sana wanaenda kwenye ukurasa wa Rais samia wanajiandikisha vitu et tumeboresha zaid mm kila nilipokua nikijaribu sion kitu week kama moja na nusu jana nimeamua rasim kuhama voda na kwenda zantel, jamani hamia zantel raha tupu. J.b na m.b za kufa mtu dakika kibao mitandao yote voda bayee nitachukua line niweke simu ndogo kwa ajiri ya m.pesa baaas.