mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
kwa watu wote wanaotumia modem kupata internet, amekuwepo ujanja ujanja wa vodafone kuchelewesha kujiunga baada ya kujisajiri , au wakati mwingine message za kukubaliwa haziji kabisa au zinakuja kesho yake wakati ulishakata tamaa, niliwahi kuongea nao kila saa wanasema message pending baadaye ukianza kutumia wanakujibu kuwa una hela ya kutosha kujiunga na bando au wanasema umejisajiri mara nyingi, mimi ni mtumiaji karibu miezi tano sasa wanajifanya kunifundisha wakati najua wanachofanya kwa kuwa angalau mambo ya It nayajua kwa kiwango kikubwa
vodacom/vodafone acheeeeeeeeni wiziwa bando
vodacom/vodafone acheeeeeeeeni wiziwa bando