Mtaalamu wakati wa ukombozi ni sasa, achana na voda komaa na Airtel wanatisha speed ya kufa mtu, mimi muda mwingine naachaga modem on halafu naenda kuoga lakini nikiangalia bundle iliyobakia nabaki nacheka tu imetumika kidogoo, voda na zantel nilishaachana nao, ogopa sana watu wanaosema vigezo vitazingatiwa halafu vigezo vyenyewe havijulikana au haviko wazi, wakitafuna mb zako ndio wanakuja na hoja ya vigezo, kama hapo mkuu wamekupiga chakachua kwamba ulianza kutumia bila confirmation ndiyo vigezo hivyo sasa hujui vipo vingapi, no noma nakushauri jiunge na Airtel.